- 26,796 viewsDuration: 28:10Afisa mwandamizi wa Marekani amethibitishia BBC kwamba Israel na Lebanon zimekubaliana kusitisha vita. Hata hivyo, kuna ripoti kwamba jeshi la Israel limetekeleza mashambulizi kadhaa nchini Lebanon tangu mataifa hayo mawili kutia saini mkataba huo wa kusitisha mapigano. Tangazo hilo linajiri baada ya kuuawa kwa watu wasiopungua 47 katika mashabulizi ya anga ya jeshi la Israel kusini mwa Lebanon. Aidha jeshi hilo limethibitisha kuwa wanajeshi wanne wa Israel wameuawa katika shambulizi la Hezbollah. #bbcswahili #bbcswahilileo #bbcswahilihabalileo #bbcswahilidirayaduniatv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw