Skip to main content
Skip to main content

Makueni: Shule ya Msingi ya Kivai yaanza mradi wa kilimo kwa lengo la kuwapa wanafunzi chakula

  • | NTV Video
    391 views
    Duration: 2:36
    Shule ya Msingi ya Kivai katika eneo bunge la Kaiti, Kaunti ya Makueni, imeanza mradi wa kilimo shuleni kwa lengo la kuwapa wanafunzi chakula na kuwasaidia kuendeleza masomo bila vizingiti vyovyote. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya