- 472 viewsDuration: 2:42Chama cha makuli kimedokeza kuwa kitabuni mkataba mpya na halmashauri ya bandari unaonuia kulinda maslahi ya wafanyakazi. Wakiongozwa na katibu wa chama hicho Sulman Owuor, viongozi hao wamesema kwamba muda wa mkataba uliopo ulikamilika mwaka wa 2023, na hivyo ipo haja ya kubuni mkataba mpya utakaozingatia maslahi ya wafanyakazi ikiwemo nyongeza ya mishahara