Makundi ya kina mama yanayojihusisha na uvuvi yanataka sera mpya za kuwalinda

  • | Citizen TV
    181 views

    Makundi ya kina mama yanayojihusisha na uvuvi na biashara ndogo katika fuo za Pwani, yanataka sera mpya za kuwalinda kama wenzao wa kiume mbali na kupewa ufadhili wa kutosha kutoka serikali kuu.