Makundi ya wakazi wa Busia yapewa mikopo ya Uwezo Fund

  • | Citizen TV
    226 views

    Hazina ya Uwezo Fund imeyafaidi makundi ya vijana na akina mama katika eneo bunge la Nambale kaunti ya Busia na kuwatoa kwenye lindi la umasikini