- 23,568 viewsDuration: 3:17Vurumai ilitanda katika mazishi ya mamake Mbunge wa Malava, David Ndakwa, Mama Fridah Ndakwa, yaliyofanyika Malava, kaunti ya Kakamega. Fujo zilizuka baada ya aliyekuwa Seneta wa Kakamega, Cleophas Malala, kutangaza kumuunga mkono kiongozi wa Linda Mwananchi, Edwin Sifuna, katika azma yake ya kuwania urais. Kauli hiyo ilionekana kuwakeresha baadhi ya waliohudhuria mazishi wanaounga mkono serikali. Kabla ya ghasia hizo, Malala pia alimrushia vijembe Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, kuhusu utendakazi wake. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno na mengi zaidi...