- 19,984 viewsDuration: 2:34Washukiwa wawili wa ujambazi wameuawa baada ya makabiliano kati ya maafisa wa Jeshi la Wanamaji, polisi na genge la wahuni watano huko Bamburi, kaunti ya Mombasa. Inadaiwa kuwa washukiwa hao waliokuwa na silaha walimvamia mhudumu wa bodaboda huko Shanzu, karibu na kambi ya kijeshi, kabla ya kujaribu kutoroka. Francis Mtalaki anaaarifu.