Skip to main content
Skip to main content

Malava: IEBC yathibitisha kwamba Edgar Busiega bao yumo kwenye orodha ya wagombea

  • | NTV Video
    244 views
    Duration: 1:46
    Muungano wa upinzani unaoongozwa na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua umepata pigo baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) eneo bunge la Malava kuthibitisha kuwa mgombea wao Edgar Busiega, ambaye chama chake kilitangaza kumwondoa, bado yumo kwenye orodha ya wagombea tisa watakaowania kiti cha ubunge katika uchaguzi mdogo wa Novemba 27 mwaka huu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya