16 Sep 2026 10:51 am | Citizen TV 62 views Hazina ya maendeleo ya maeneo bunge NG - CDF eneo bunge la Malindi inalenga kutumia takriban shilingi Milioni 100 kuboresha miundomsingi ya shule ya wavulana ya Malindi high, ili kuipandisha hadhi hadi ngazi ya kitaifa.