Malipo ya fidia yatawala mswada kuhusu wanyama pori

  • | KBC Video
    5 views

    Ulipaji fidia kwa waathiriwa wa uvamizi wa wanyama pori ni miongoni mwa masuala ambayo wakazi wa Kisumu wanataka yashughulikiwe kwenye mswada kuhusu wanyama pori wa mwaka-2025 ambao unapigwa msasa. Wakazi hao wamesema kuwa tatizo la wahanga wa uvamizi wa wanyama pori kusubiri malipo ya fidia kwa kipindi cha miaka mitatu linapaswa kushughulikiwa upesi. Wito huo unajiri huku waziri wa utalii na uhifadhi wa wanyama pori, Rebecca Miano akikiri kuwa visa-800 vya wanyama pori kushambuilia binadamu havijashughulikiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive