Skip to main content
Skip to main content

Malipo ya SHA kwa wahudumu

  • | Citizen TV
    427 views
    Duration: 3:25
    Serikali kuu na zile za kaunti zimekubaliana kuwalipia wahudumu wakujitolea wa afya malipo ya SHA bila na kuwakata chochote kwenye malipo yao kuanzia mwaka ujao. Kwa mujibu wa waziri wa afya Aden Duale, ngazi zote mbili za serikali zitatoa pesa nusu kwa nusu na kugharamia matibabu kamili ya wahudumu hawa wa afya wa nyanjani kwa mradi ambao utagharimu takriban shilingi milioni 9.