Skip to main content
Skip to main content

Trump: Siitaji msaada wa China kukomesha vita Iran. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    18,804 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Marekani Donald Trump amewasili nchini China kwa ziara ya siku mbili, ambapo atakutana na mwenyeji wake Rais Xi Jinping. Mazungumzo huenda yakazingatia sana Kusitisha vita na Iran, masuala kuhusu Taiwan, pamoja na mahusiano ya kibiashara. Hata hivyo kabla ya kuondoka Marekani,Trump alisema hatahitaji msaada wa China ili kukomesha vita na Iran. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw