Skip to main content
Skip to main content

Mama Ida Odinga awarai wananchi kuzingatia amani wakati wa shughuli za mazishi ya hayati Raila

  • | Citizen TV
    12,323 views
    Duration: 4:18
    Mama Ida Odinga amewarai wananchi kuzingatia amani wakati wa shughuli za mazishi ya Hayati Raila Odinga. Akizungumza nyumbani kwake Opoda Farm, huko Bondo, Siaya, Mama Ida alishukuru kw ajumbe nyingi za rambirambi kutoka kwa watu mbalimbali humu nchini na kimataifa. Mama Idah aliwarai wakenya kutofanya fujo wakati wa hafla ya maombolezo na mazishi, akisema kuwa mumewe, marehemu Raila Odinga alikuwa mpenda amani.