'Mama majeneza' wa Kisumu

  • | Citizen TV
    615 views

    Wanawake wawili kutoka kaunti ya Kisumu wamewashangaza wengi baada ya kujitosa katika kazi ya kutengeneza majeneza. Maureen Nayango na Penina Atieno ni wanawake wa pekee katika maduka ya useremala wa jeneza yaliyoko mkabala na makafani ya Jaramogi Oginga Odinga.