"Mambo ni miwili, umrushe mtoto mtoni au niwaue nyote wawili."

  • | BBC Swahili
    1,146 views
    Marion Watswenje ni mwanamke aliyeingia kwenye ndoa akiwa na matumaini ya kuifurahia, lakini iligeuka na kuwa uchungu. Anasema kwa sasa anajihisi kama mtu aliyefufuka kutoka kaburini. Marion anaelezea mateso aliyopitia hususani pale mtoto wao alipokuwa mgonjwa kila wakati, mume wake alimbadilikia kiasi cha kutaka kumrusha mtoto wao kwenye mto. Je ilikuwaje akaingia kwenye ndoa ya mateso na alitokaje huko? Asha Juma mezungumza nae #bbcswahili #kenya #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw