Skip to main content
Skip to main content

Mambo yanayoweza kubatilisha funga yako

  • | BBC Swahili
    14,789 views
    Duration: 1:49
    Je, unayafahamu mambo yanayoweza kuibatilisha saumu yako katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani? Mwandishi wa BBC @ahmedbahajj ameangazia mambo sita muhimu unayopaswa kuyajua ili kuhakikisha saumu yako inaenda sawa. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #foryou #tanzaniantiktok #ramadhan #kenyantiktok🇰🇪 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw