Skip to main content
Skip to main content

Mamia ya wakazi wa Funyula wajitokeza kupokea chakula cha msaada

  • | Citizen TV
    562 views
    Duration: 3:22
    Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi yaliyosababisha kiangazi kikali katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wengi katika kaunti ya Busia wamekadiria hasara maradufu na kukosa matumaini ya mavuno kabisa.... wakulima wengi walitegemea sana mavuno ya mahindi na maharagwe ila sasa wameathirika pakubwa kutokana na ukame na sasa wanahitaji chakula cha msaada.