Mamia ya watu walijitokeza kwa shughuli ya matibabu bila malipo iliyoandaliwa na mwaniaji wa kiti cha mwakilishi wadi ya Matungulu Mashariki, Jonathan Mutinda, kwa pamoja na shirika la uhisani la Upendo na wakfu wa huduma za matibabu wa Myer huko Matungulu. Mpango huo ulilenga kuleta huduma muhimu za matibabu karibu na wananchi. Mpango huo ulilenga jamii katika ngazi ya mashinani, kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma za matibabu, huku ukiangazia changamoto za kiafya za mara kwa mara zinazowaathiri wakazi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News