- 20,589 viewsDuration: 2:34Mamia ya familia kutoka sehemu mbali mbali wanakadiria hasara kufuatia mvua kubwa inayoendelea kote nchini. Katika kaunti ya Turkana, zaidi ya familia hamsini zimesalia bila makao baada ya nyumba zao kujaa maji. Na Huko Tana River, zaidi ya mifugo mia mbili walisombwa na maji.