Skip to main content
Skip to main content

Vurugu zilishuhudwa kwenye tamasha ya jamii ya Maa, Narok

  • | Citizen TV
    24,232 views
    Duration: 3:39
    Vurugu zilishuhudwa wakati wa tamasha ya jamii ya maa katika eneo la sekenani kaunti ya narok. Makundi hasimu ya wanasiasa yalikabiliana vikali kwenye kile kinachoonekana kama kupimaza nguvu kisiasa. Ubabe wa kisiasa kati ya gavana wa narok patrick ole ntutu na mbunge wa narok west gabriel tong’oyo anayemezea mate kiti hicho cha ugavana pia ulichangia mikwaruzano hiyo, gavana wa kajiado joseph ole lenku naye akilengwa baada ya kuirai jamii ya maa kuingia kwenye chama chake cha feda.