Manusura wa tetemeko la ardhi Morocco wanahitaji chakula, maji na malazi

  • | VOA Swahili
    882 views
    Manusura wa tetemeko baya zaidi la ardhi katika zaidi ya miongo sita nchini Morocco wanataabika kupata chakula, maji na malazi, huku zoezi la kuwatafuta waathirika likiendelea katika vijiji na miji mbalimbali. Wamarekani wakusanyika kote nchini kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 22 ya mashambulizi ya kigaidi. #manusura #tetemeko #morocco #chakula #maji #malazi #waathirika #vijiji #miji #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.