Maombi katika mnara yakisema Papa Francis apone kwa haraka
Vatican imesema kwamba kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis anaweza kuamka na kula kiamsha kinywa.
Francis, mwenye umri wa miaka 88, anaugua homa ya mapafu na maradhi mengine ambayo yameathiri hali ya kupumua.
Vatican imesema jana alhamisi kwamba afya ya Papa imeimarika kidogo na moyo wake unafanya kazi vyema, lakini wamesema itachukua muda kujua iwapo dawa anayopewa inafanya kazi.
Madaktari wamesema kwamba mgonjwa mwenye umri mkubwa kama Papa Francis, huenda akachukua hadi wiki mbili kupona Nimonia.
Francis alilazwa katika hospitali ya Gemelli mjini Rome, Februari 14. - Vyanzo mbalimbali
#papa #papafrancis #hospitali #kanisakatoliki #voa #voaswahili #buenosaires #argentina
15 Jun 2025
- Complications emerged with the protocol of official functions during Ruto and Gachagua's tenure.
15 Jun 2025
- For some people, being alongside trickling water masses initiates the urge.
15 Jun 2025
- The president also issued a warning to other contractors.
16 Jun 2025
- Assassination of Kasipul MP Ong’ondo Were, death of teacher Albert Ojwang’ and ODM’s internal rebellion have shaken the foundation of Ruto-Raila pact.
16 Jun 2025
- President Ruto has accused opposition politicians of lacking a national development agenda.
16 Jun 2025
- Many investigations into police killings in Nakuru have stalled, allegedly due to interference or lack of political will.
16 Jun 2025
- Security budget balloons while justice starves and protesters bleed
16 Jun 2025
- Police explanation of Ojwang's death comes from a familiar past script
16 Jun 2025
- Manufacturers warn new rules on alcohol will hurt production
16 Jun 2025
- The silent STI threat: Why unseen infections are a growing concern
16 Jun 2025
- Hidden knife in the Finance Bill that stabs firms
16 Jun 2025
- Cancer took my health, heartbreak everything else: Leah Wanjiru's silent battle
16 Jun 2025
- Deadly shortcut: Fake yellow fever cards pose threat to public health