Maonyesho ya kilimo katika kaunti ya Mombasa yango'a nanga

  • | Citizen TV
    334 views

    Maonyesho Ya Kilimo Kaunti Ya Mombasa Yameng'oa Nanga Rasmi. Washiriki Zaidi Ya 250 Wanahudhuria Maonyesho Ya Mwaka Huu. Maonyesho Hayo Yanalenga Kuboresha Kilimo Cha Kisasa Kama Anavyoarifu Francis Mtalaki.