Skip to main content
Skip to main content

Maonyesho ya kilimo yafanyika Makueni

  • | Citizen TV
    248 views
    Duration: 2:58
    Maonyesho ya kilimo ya mwaka huu ya kaunti ya Makueni yaingia siku yake ya pili hii leo katika uwanja wa maonyesho mjini Makindu. ukulima unaozingatia mbinu za kisasa hasa za kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi wapewa kipaumbele kwenye maonyesho hayo.