- 629 viewsMaonyesho ya kimataifa ya magari yamefanyika mjini Washington DC katika ukumbi wa Walter E. Washington na kuvutia wadau mbalimbali, wakiwemo wabunifu wa teknolojia za kisasa na wadau wengine kutoka kote duniani. Sunday Shomari alihudhuria maonyesho hayo na kuandaa ripoti ifuatayo. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Maonyesho ya magari Washington DC yavutia wabunifu wa teknolojia za kisasa
- 1 May 2025 - Kasipul MP Charles Ong'ondo Were has been shot dead this evening at the City Mortuary round about in Nairobi.
- 1 May 2025 - The government now says it has not introduced any new taxes in the Finance Bill 2025, saying the move is meant to reduce the high cost of living in the country.
- 30 Apr 2025 - Controller of Budget Dr. Margaret Nyakang’o has filed an urgent application at the Nakuru High Court seeking clarity on contentious court orders that have thrown county bursary approvals and disbursements into disarray, delivering a major blow to needy…
- 30 Apr 2025 - Embattled Kenyatta University Vice Chancellor Prof. Paul Wainaina is back at the helm of the institution after the Employment and Labour Relations Court on Wednesday ordered his reinstatement as the institution’s top executive.
- 30 Apr 2025 - The Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) has released an update on investigations into deaths and injuries that occurred during the Gen Z protests of June 2024, many of which were highlighted in the BBC documentary dubbed ‘Blood…
- 30 Apr 2025 - KMPDU has written to the University of Nairobi (UoN), demanding urgent measures to protect the welfare of medical registrars, who it says are being overworked and unfairly treated.
- 30 Apr 2025 - Two lovers have been arraigned in court in connection with the brutal murder and lynching of a 26-year-old woman in Likoni, Mombasa County.
- 30 Apr 2025 - Prof. Makau Mutua has landed a new job in the Kenya Kwanza administration, becoming the latest beneficiary of the broad-based government agreement between President William Ruto and former Prime Minister Raila Odinga.
- 30 Apr 2025 - Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has directed that chiefs from five counties grappling with frequent livestock raids be registered and armed for self-defense.
- 30 Apr 2025 - Kasipul MP Ong’ondo Were has died. The MP is reported to have been shot dead by two assailants who had been trailing him on a motorbike. Upon reaching the junction at Nairobi Funeral Home, formerly known as City Mortuary, the pillion passenger of the…