Skip to main content
Skip to main content

Mapaa ya plastiki yasaidia kupunguza joto madarasani katika eneo la Kakuma kaunti ya Turkana

  • | Citizen TV
    144 views
    Duration: 1:41
    Kama njia mojawepo ya kukabiliana na joto na makali ya athari ya mabadiliko ya tabianchi katika eneo la Kakuma kaunti ya Turkana, mashirika kadhaa yavumbua teknologia ya kujenga mapaa ya nyumba kwa kutumia plastiki .