- 50,293 viewsDuration: 1:25Mercy na Goodness ni mapacha waliokuwa wameungana na kufanyiwa upasuaji wa sehemu za mafuvu yao mapya kwa kutumia teknolojia ya mixed reality (uhalisia mseto). Wasichana hao wenye umri wa miaka miwili, kutoka Nigeria, walizaliwa wakiwa wameungana kichwani. BBC ilifanya mahojiano na daktari bingwa wa upasuaji katika siku kadhaa kabla upasuaji wao wa mwisho, upasuaji ambao ulikuwa una hatari ulifanyika Abu Dhabi. Mwandishi wa BBC @frankmavura na maelezo zaidi. - - #bbcswahili #pacha #akilimnembe #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw