- 9,771 viewsDuration: 2:23Mapigano mapya yamezuka katika jimbo la kivu kusini mwa jamuhuri ya congo ambako vikosi vya kijeshi vya DRC vimekabiliana na wanamgambo wa m-23. Takriban watu 70 wakiripotiwa kuuawa baada ya vita hivyo. Mataifa ya drc na rwanda yamenyoosheana kidole cha lawama, kila mmoja akilamu mwingine kwa kukiuka makubaliano ya amani yaliyotiwa saini chini ya wiki moja iliyopita nchini Marekani.