"Yalisomba friji, viti vya ofisi yangu"
-
Happiness Malisa ni miongoni mwa wafanyabiashara walioshuhudia tukio zima la maporomoko ya udongo na mafuriko yaliyotokea katika wilaya ya Hanang mkoa wa Manyara nchini Tanzania mwanzoni mwa mwezi disemba mwaka 2023.
-
Anasema kuwa alishuhudia miili ya watu ikielea huku baadhi ya watu hao wakiwa ni ndugu na jamaa wa karibu.
-
Happiness anasema kwa sasa bado wana hofu licha ya miundo mbinu mizuri iliyowekwa na serikali na wanatamani kupata majibu kuhusu nini hasa kilitokea
-
Akiwa mjini Hanang Mwandishi wa BBC Eagan Salla alifanya mahojiano haya.
-
-
-
#bbcswahili #tanzania #hanag
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.