- 2,036 viewsDuration: 3:23Jaji mkuu mstaafu David Maraga na waziri wa zamani Fred Matiang'i wameelezea imani ya mshikano wa upinzani kuondoa mamlakani serikali ya Kenya Kwanza kwenye uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza kaunti ya Kisumu, Maraga alisema kuwa hoja muhimu ni kuiondoa serikali ya sasa ambayo alisema itafanikishwa ikiwa wakenya watajisajili kama wapiga kura. Vile vile, Matiangi aliyezungumza eneo la Syokimau kaunti ya Kajiado pia aliinyooshea serikali kidole cha lawama kwa kile alichosema ni kuwahadaa wakenya