Marais wa nchi za Uganda, Tanzania na Burundi wanena

  • | Citizen TV
    1,219 views

    Marais, viongozi wa serikali na wawakilishi wa mataifa kutoka Afrika na ng'ambo wapatao ishirini walijumuika na wakenya wakati wa uapisho wa William Ruto kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya. Aidha hotuba iliyotolewa na marais wa Afrika Mashariki kutoka Uganda, Tanzania na Burundi iliangazia pakubwa uhusiano baina ya mataifa kwenye bara hili