Aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga ametunukiwa tuzo ya Chief of the Order of the Golden Heart, ambayo ni hadhi ya raia yenye taadhima kuu zaidi hapa nchini. Rais William Ruto akiongoza sherehe ya siku ya Mashujaa, alisema hadhi hiyo inatambua kujitolea kwa Raila maisha yake yote kwa ajili ya kujenga taifa hili. Ruto alimuomboleza Raila kuwa shujaa aliyeitakia nchi hii makuu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive