Marekani: Mwanafunzi wa kizazi cha Gen-Z anaeleza msimamo wa kisiasa na ule wa kati

  • | VOA Swahili
    736 views
    Hali ilivyo hivi sasa kisiasa Marekani, anasema mwanafunzi wa kizazi cha Gen-Z wanarudishwa nyuma miaka 100. Sikiliza kero ambazo anaeleza ni haki za wananchi kubatilishwa kutokana na maamuzi ya Mahakama ya Juu na nyinginezo. Endelea kusikiliza... #haki #mahakama #siasa #voa #voaswahili #dunianileo #kizazi #gen-z #wamarekani #tabaka #makabila #vizazi #tabia #mwenendo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.