Marekani yaendelea kuiunga mkono Ukraine dhidi ya Russia

  • | VOA Swahili
    159 views
    - - - - - #VOASwahili Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken ameihakikishia Ukraine kwamba wataendelea kuungwa mkono na washirika wake wa Magharibi. Russia, hata hivyo, ilikuwa ndiyo imefanya uchaguzi wa serikali za mitaa katika maeneo manne ya Ukraine ambayo wanayakalia kimabavu na Moscow inaonekana kupania kupanua uvamizi wake.