- 562 viewsDuration: 3:02Tanzania na Marekani zimesaini makubaliano mapya ya miaka mitano ya ushirikiano katika sekta ya afya. Lakini makubaliano haya yanamaanisha nini kwa Tanzania na kwa nini yamezua mjadala katika baadhi ya nchi za Afrika? Mwandishi wa BBC @elizabethkazibure anaelezea - - #bbcswahili #afya #marekani #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw