Skip to main content
Skip to main content

Marekani yatangaza orodha ya Wakenya 15 watakaofurushwa kwa uhalifu chini ya serikali ya Trump

  • | Citizen TV
    27,809 views
    Duration: 2:38
    Serikali ya Marekani imetoa orodha ya wakenya 15 ambao watafurushwa nchini humo. Wakenya hawa ni wale waliokabiliwa na kesi mbalimbali ikiwemo wizi wa mabavu, dawa za kulevya na hata wengine kwa kuendesha gari wakiwa walevi. Hii ni sehemu ya awamu ya serikali ya rais Donald Trump kuwaondoa watu inaowataja kuwa ‘wageni wabaya