Martha koome asema mfumo mpya wa karo ya vyuo vikuu unawatenga maskini

  • | Citizen TV
    833 views

    Jaji mkuu Martha Koome amekosoa mfumo mpya wa ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu akisema kuwa hauna usawa na unawakandamiza wanafunzi.