Wizara ya afya kukusanya maoni kutoka kaunti zote 47

  • | Citizen TV
    136 views

    Wizara ya afya imeanzisha mchakato wa kukusanya maoni kote nchini kuhusu mswada mpya wa afya unaolenga kumkinga mgonjwa dhidi ya madhila ya wahudumu wa afya .