Masaibu ya wanaharakati Samburu

  • | Citizen TV
    285 views

    Wanaharakati wanaopigania haki za kibinadamu ikiwemo kupinga ukeketaji,na dhulma nyinginezo katika kaunti ya Samburu, wameelezea kupitia changamoto nyingi katika kutekeleza majukumu Yao. Haya yamejiri katika kongamano la siku mbili la wanaharakati pamoja na wadau mbali mbali. Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.