Maseneta warusiana vijembe kufuatia malumbano ya uongozi wa chama cha Jubilee

  • | KBC Video
    29 views

    Malumbano ya uongozi wa chama cha Jubilee yanaendelea kuchacha huku mipango ya kuwaondoa wabunge waasi wa chama hicho kutoka kamati za bunge ikichipuza. Kikao cha seneti leo alasiri nusura kitatizwe baada ya maseneta wanaolengwa kwenye hatua hiyo kushtumu muungano wa Azimio kwa kile walichosema ni unafiki kuendelea kuamini kwamba chama cha Jubilee kingali chama tanzu kwenye muungano wa Azimio.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #jubileeparty #darubini