Mashambulizi ya RSF yaacha mji wa Port Sudan bila umeme, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    11,981 views
    Kampuni ya usambazaji umeme nchini Sudan imesema mashambulizi ya kikosi maalum cha wanamgambo cha RSF usiku wa Jumatatu yalilenga kituo cha umeme, hatua iliyokatiza umeme katika mji wa Port Sudan. Milipuko mikubwa ilisikika kote, huku moto mkubwa pia ukionekana kutoka umbali wa kilomita mbili kutoka kwa uwanja wa ndege wa kimataifa mjini humo.