Mashindano ya kufuzu Olimpiki ya walemavu

  • | NTV Video
    25 views

    Kamati ya Kitaifa ya Olimpiki ya Walemavu ya Kenya sasa itawachagua wanariadha wengine watatu ambao wataungana na Timu ya Kenya katika kuiwakilisha Taifa kwenye Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Paris inayopangwa kufanyika Agosti 28-Septemba 8.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya