Mashindano ya riadha kwa wakongwe yaandaliwa Nandi

  • | Citizen TV
    1,562 views

    Shirika moja lisilo la kiserikali na ambalo hutoa huduma kwa wakongwe kaunti ya Nandi liliandaa mashindano ya riadha huko Tindiret ili kutoa uhamishisho kwa jamii kuhusu kuwatunza wakongwe.