- 424 viewsDuration: 2:00Kenya imepokezwa nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya riadha ya dunia ya 2029. Jiji la Nairobi litakuwa jiji la kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano hayo makuu ya riadha duniani katika hali ambayo ni ya kwanza kushuhudiwa barani Afrika kwa mara ya kwanza duniani. @mrs.tadicha Leila Mohammed ana maelezo zaidi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw