25 Oct 2025 7:43 pm | Citizen TV 257 views Duration: 1:43 Klabu ya gofu ya Muthaiga imeandaa mashindano ambayo yamekuwa yakisubiriwa kwa hamu kubwa ya kombe la Chairman’s prize 2025.