Mashine maalum ya kusaidia kuzuia mafuriko yazinduliwa katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    384 views

    Ni afueni kwa wakaazi wa eneo bunge la Budalangi baada ya serikali ya kaunti ya Busia kuanzisha shughuli ya kufungua mikondo ya mito ambayo imezibwa na kusababisha mafuriko. Zaidi ya familia alfu 30, mimea shambani pamoja na miundo msingi imeharibika kutokana na mafuriko baada ya ziwa Kanyaboli kuvunja kingo zake. Mashine maalum inatarajiwa kusaidia kufungua mikondo ya mito.