Mashira kadhaa yanayomilikiwa na walioserikalini yafadhiliwa

  • | NTV Video
    4,293 views

    Mashirika ya Kijamii nchini yamekanusha madai ya serikali ya kenya kwanza kuwa yanafadhili maandamano yanayoendelea kote nchini dhidi ya serikali na kuishutumu serikali kwa kujaribu kuharibu kazi zao muhimu katika jamii na kuchafua mtazamo wao kwa raia wanaowahudumia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya