Mashirika mbalimbali ya kutetea haki za kibinadamu waandaa kikao kusemezana masuala ya taifa

  • | NTV Video
    570 views

    Mashirika mbali mbali ya kutetea haki za kibinadamu yakiwemo KNCHR, muungano wamawakili, Defenders coalition , amnesty international ,Social justice centre na ICJ wameandaa kikao maalum na vijana ili kusemezana kuhusu masuala yanayolikumba taifa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya