Mashirika mbalimbali yaadhimisha siku ya mazingira Kwa kupanda miti zaidi ya 300 Samburu

  • | Citizen TV
    50 views

    Baraza la wanahabari nchini MCK,katiba institute,muungano wa wanahabari Katika kaunti ya Samburu pamoja na usimamizi wa gereza la GK Maralal wameadhimisha siku ya mazingira Kwa kufanikisha upanzi wa miti zaidi ya mia tatu katika gereza la Maralal. Wakiadhimisha siku hiyo wametoa changamoto Kwa wakenya kuhakikisha wanakumbatia zoezi hilo kikamilifu.