Mashirika na makundi mbalimbali yajitokeza na kumpongeza Martha Karua kwa uteuzi

  • | K24 Video
    55 views

    Kufuatia kuteuliwa kwa Martha Karua kama mgombea mwenza wa kinara wa muungano wa Azimio One Kenya, Raila Odinga wanawake tofauti , mashirika na makundi mbalimbali nchini wamejitokeza kumpongeza karua kwa uteuzi huo. Wengi wao wanasema wana imani sasa matakwa ya kina mama na vijana yataangaziwa vyema endapo tiketi hiyo ya urais itashinda.